Chaguzi digitali ni nini?

Chaguzi digitali hukuruhusu kutabiri matokeo kutokana na matokeo mawili yanayowezekana na kupata malipo ikiwa utabiri wako ni sahihi.

Ikoni Rise/Fall

Rise/Fall

Tabiri ikiwa bei ya soko itapanda au itashuka mwishoni mwa mkataba.

Ukichagua 'Rise', utapokea malipo ikiwa bei ya kutoka ni kubwa kuliko bei ya kuingia.

Ukichagua 'Fall', utapokea malipo ikiwa bei ya kutoka ni ndogo zaidi kuliko bei ya kuingia.

Na chaguo 'Allow equals' (linapatikana kwenye vyombo vilivyochaguliwa):

Chagua 'Rise', ili kupokea malipo ikiwa bei ya mwisho itakuwa kubwa kuliko au sawa na bei ya kuingia.

Chagua 'Fall' ili kupokea malipo ikiwa bei ya kutoka ni ndogo kuliko au sawa na bei ya kuingia.

Ikiwa kigezo kilichochaguliwa hakijafikiwa, unapoteza dau lako.

Chati inayoonyesha ushindi katika biashara ya aina ya mkataba wa RiseChati inayoonyesha kupoteza katika biashara ya aina ya mkataba wa RiseChati inayoonyesha ushindi katika biashara ya aina ya mkataba wa FallChati inayoonyesha kupoteza katika biashara ya aina ya mkataba wa Fall
Ikoni ya Higher/Lower

Higher/Lower

Tabiri ikiwa bei ya soko itakuwa ya juu au chini kuliko lengo la bei (kizuizi) mwishoni mwa mkataba.

Ukichagua 'Higher', utapokea malipo ikiwa bei ya kutoka iko juu ya kizuizi.

Ukichagua 'Lower', utapokea malipo ikiwa bei ya kutoka iko chini ya kizuizi.

Ikiwa kigezo kilichochaguliwa hakijatimizwa au ikiwa bei ya kutoka ni sawa na kizuizi, unapoteza dau lako.

Chati inayoonyesha ushindi katika biashara ya aina ya mkataba wa HigherChati inayoonyesha kupoteza katika biashara ya aina ya mkataba wa HigherChati inayoonyesha ushindi katika biashara ya aina ya mkataba wa Lower’Chati inayoonyesha kupoteza katika biashara ya aina ya mkataba wa Lower

Vinjari maswali yanayoulizwa mara kwa mara (FAQ)

Kwa nini ufanye biashara ya chaguzi kwenye Deriv

Chaguzi nyingi za malipo

Chaguzi nyingi za malipo

Tambua faida unayoweza kupata na malipo ya kudumu, au ongeza faida inayowezekana na malipo tofauti ikiwa tabiri zako ni sahihi.

Masoko yote pendwa na zaidi

Masoko yote pendwa na zaidi

Biashara kwenye masoko yote maarufu pamoja na sanisi zetu za wamiliki ambazo zinapatikana 24/7.

Ufikiaji wa papo hapo

Ufikiaji wa papo hapo

Fungua akaunti sasa na upate ufikiaji wa ulimwengu wa biashara. Hakuna haja ya kusubiri - unaweza kuanza biashara dakika hiyo hiyo.

Majukwaa rafiki kwa mtumiaji na yenye vitendea kazi vya chati zenye nguvu

Majukwaa rafiki kwa mtumiaji na yenye vitendea kazi vya chati zenye nguvu

Fanya biashara kwenye majukwaa salama, rahisi kutumia na yenye teknolojia imara ya chati.

Aina rahisi za biashara na mtaji mdogo

Aina rahisi za biashara na mtaji mdogo

Weka kiasi kidogo kama USD 5 ili kuanza biashara na boresha biashara zako ili kukidhi mkakati wako.

Je, bado hauna akaunti ya Deriv?
Unda demo akaunti

Anza biashara ya chaguzi kwenye Deriv

check icon

Jifunze

Fungua demo akaunti na upate fedha dhahania bila kikomo ili kufanya mazoezi kwenye majukwaa yetu -Deriv Trader, SmartTrader, na Deriv Bot.

check icon

Biashara

Fungua kaunti halisi, weka pesa, na uanze kufanya biashara ya chaguzi kwa uhalisia.

check icon

Kutoa

Toa pesa zako kwa urahisi kupitia njia yoyote ya utoaji pesa tunayotoa.

Unda demo akaunti

Deriv (FX) Ltd ina leseni ya Labuan Financial Services Authority.

Deriv (BVI) Ltd ina leseni ya British Virgin Islands Financial Services Commission..

Deriv (V) Ltd ina leseni na inadhibitiwa na Vanuatu Financial Services Commission.

Deriv (SVG) LLC ina ofisi iliyosajiliwa katika First Floor, SVG Teachers Credit Union Uptown Building, Corner of James and Middle Street, Kingstown P.O., St Vincent na Grenadines.

Deriv.com Limited, kampuni iliyosajiliwa huko Guernsey, ni kampuni mama ya tanzu hizi.

Hakikisha unasoma Vigezo na Masharti yetu, Ufichuzi wa Hatari, na Biashara Salama na Inayowajibika ili kuelewa kikamilifu hatari zinazoweza kuwepo kabla ya kutumia huduma zetu. Tafadhali kumbuka kuwa maelezo kwenye wavuti hii hayajumuishi ushauri wa uwekezaji.

Bidhaa zinazotolewa kwenye wavuti yetu ni bidhaa tata za derivative ambazo zina hatari kubwa ya hasara. CFDs ni vyombo tata na vyenye hatari kubwa ya kupoteza pesa haraka kutokana na mkopo. Unapaswa kuzingatia ikiwa unaelewa jinsi bidhaa hizi zinavyofanya kazi na ikiwa unaweza kumudu kuchukua hatari kubwa ya kupoteza pesa zako.