Fedha za kubadilishana

Fedha zinazouzwa kwa kubadilishana (ETFs) hukuruhusu kubadilisha mkoba wako wa kazi na mali zinazofuatilia hati fungani, bidhaa, na faharisi, bila gharama kubwa ya kumiliki mali za msingi.

etf banner

Fedha za kubadilishana

Fedha zinazouzwa kwa kubadilishana (ETFs) hukuruhusu kubadilisha mkoba wako wa kazi na mali zinazofuatilia hati fungani, bidhaa, na faharisi, bila gharama kubwa ya kumiliki mali za msingi.

etf banner

Biashara za ETF zinazopatikana kwenye Deriv

CFDs

Biashara ya CFD hukuruhusu kufanya biashara kwenye mwenendo wa bei ya mali bila kununua au kumiliki mali ya msingi.

Kwenye Deriv, unaweza kufanya biashara ya CFDs kwa mkopo mkubwa, mkopo hukuwezesha kulipa thamani ya sehemu tu ya mkataba. Mkopo utakuza faida yako inayowezekana lakini pia kuongeza uwezekano wa hasara zako.

Inapatikana kwenye

Vyombo vinavyopatikana kwa biashara ya CFD

ETFs

symbol

AGG.US

symbol

ARRK.US

symbol

DIA.US

symbol

EEM.US

symbol

EFA.US

symbol

ERX.US

symbol

GDX.US

symbol

GLD.US

symbol

HYG.US

symbol

IEMG.US

symbol

IJR.US

symbol

IVV.US

symbol

IVW.US

symbol

IWM.US

symbol

LQD.US

symbol

QID.US

symbol

SDS.US

symbol

SLV.US

symbol

SPXS.US

symbol

SPY.US

symbol

TBT.US

symbol

TQQQ.US

symbol

UNG.US

symbol

VEA.US

symbol

VNQ.US

symbol

VOO.US

symbol

VTI.US

symbol

VWO.US

symbol

XLE.US

symbol

XLF.US

symbol

XLK.US

AGG.US iShares Core US Aggregate Bond ETF inafuatilia hati fungani za daraja la uwekezaji Marekani (US).

ARKK.US ARK Innovation ETF inawekeza katika dhamana za usawa za ndani na nje za makampuni yanayotegemea au kufaidika kutokana na maendeleo katika akili mnemba, mitambo ya otomatiki, teknolojia za Vinasaba (DNA), uhifadhi wa nishati, fintech, na maroboti.

DIA.US SPDR Dow Jones Industrial Average ETF Trust inafuatilia dira ya wastani wa viwanda vya Dow Jones.

EEM.US iShares MSCI Emergin Markets ETF inafuatilia dira kubwa- na ya kati ya hisa kutoka katika nchi zinazoibuka sokoni.

EFA.US iShares MSCI EAFE ETF inafuatilia dira kubwa- na mtaji wa- kati wa maendeleo ya usawa wa soko nje ya Marekani (US) na Canada.

ERX.US Direxion Daily Energy Bull 2X Shares inafuatilia Dira ya Chaguo la Sekta ya Nishati.

GDX.US VanEck Vectors Gold Miners ETF inaiga Dira ya NYSE Arca Gold Miners, ambayo inafuatilia utendaji wa jumla wa makampuni yanayohusika katika sekta ya madini ya dhahabu.

GLD.US Ya SPDR Gold hisa ETF inafatilia bei ya dhahabu bullion katika soko la kaunta (OTC).

HYG.US iShare iBoxx $ High Yield Corporate Bond ETF inafuatilia dira ya US dola, yenye mavuno mengi na hati fungani za ushirika.

IEMG.US iShares Core MSCI Emerging ETF inafuatilia dira kubwa-, zakati-, na mtaji mdogo wa usawa katika soko linaloibuka.

IJR.US iShares Core S&P Small-Cap ETF inafuatilia matokeo ya uwekezaji na dira za usawa mdogo wa mtaji Marekani (US).

IVV.US iShare S&P 500 ETF inafuatilia utendaji wa dira ya mtaji mkubwa wa usawa Marekani.

IVW.US iShares S&P 500 Growth ETF inafutailia utendaji wa dira kubwa ya mtaji wa usawa Marekani zenye sifa za ukuaji wa juu zaidi ya wastani.

IWM.US iShares Russell 2000 ETF inafuatilia matokeo ya uwekezaji wa dira za usawa Marekani zenye mtaji mdogo.

LQD.US iShare iBoxx $ Investment Grade Corporate Bond ETF inafuatilia utendaji wa dira ya US dola, hati fungani ya ushirika wa daraja la uwekezaji.

QID.US Ya ProShares UltraPro Short QQQ inatafuta kuzalisha mara mbili kinyume na faida ya kila siku ya Nasdaq.

SDS.US UltraShort S&P500 ETF inatafuta kuzalisha mara mbili kinyume na faida ya kila siku ya S&P 500.

SLV.US iShare Silver Trust ETF inatafuta kuonyesha kwa ujumla utendaji wa bei ya madini ya fedha.

SPXS.US Direxion Daily S&P Bear 3X Share ETF inatafuta kuakisi 300% ya kinyume cha utendaji wa S&P 500.

SPY.US SPDR S&P 500 ETF inafuatilia S&P 500.

TBT.US ProShares UltraShort 20+ Year Treasury inatafuta matokeo ya uwekezaji wa kila siku, kabla ya ada na gharama, ambapo hufanana na mara mbili ya kinyume cha utendaji wa kila siku wa ICE US.

TQQQ.US ProShares UltraPro QQQ inatafuta matokeo ya uwekezaji wa kila siku, kabla ya ada na gharama, ambapo hufanana na mara tatu ya utendaji wa kila siku wa Dira ya Nasdaq 100.

UNG.US Mfuko wa gesi asilia wa Marekani ETF unafatilia asilimia za mwenendo wa bei ya gesi asilia.

VEA.US Vanguard FTSE Developed Markets ETF inafuatilia dira inayopima faida za uwekezaji wa hisa zinazotolewa na kampuni zilizopo Canada na masoko makubwa ya Ulaya na ukanda wa Pasifiki.

VNQ.US Vanguard Real Estate ETF inafuatilia faida ya Mali isiyohamishika ya Soko la Uwekezaji la MSCI US kwa dira ya 25/50.

VOO.US Vanguard S&P 500 ETF inafuatilia Dira ya S&P 500.

VTI.US Ya Vanguard jumla ya soko la hisa ETF hufuatilia CRSP US index ya jumla ya soko.

VWO.US Vanguard FTSE Emerging Mkts ETF inafuatilia FTSE kwa Masoko Yanayoibuka na Dira zote za ujumishaji za Uchina A.

XLE.US Energy Select Sector SPDR® Fund ETF inafuatilia sekta ya nishati ya Dira ya S&P 500.

XLF.US Financial Select Sector SPDR® Fund ETF inafuatilia sekta ya fedha ya Dira ya S&P 500.

XLK.US Technology Select Sector SPDR® Fund ETF inafuatilia sekta ya teknolojia ya Dira ya S&P 500.

Unataka kufahamu zaidi kuhusu vigezo vya biashara za CFDs kwa vyombo tunavyotoa?

Angalia vipimo vya biashara

Kwa nini ufanye biashara ya ETFs kwenye Deriv

Anza kufanya biashara ya ETFs kwenye Deriv katika hatua 3 rahisi

Jifunze

Fungua demo akaunti na fanya mazoezi na kiasi cha fedha dhahania bila kikomo.

Biashara

Fungua akaunti halisi, weka amana, na anza kufanya biashara ya Dira ya kikapu na masoko mengine.

Kutoa

Toa pesa zako kwa urahisi kupitia njia yoyote ya utoaji pesa tunayotoa.

Masoko mengine ambayo unaweza kuvutiwa nayo

Deriv (FX) Ltd ina leseni ya Labuan Financial Services Authority.

Deriv (BVI) Ltd ina leseni ya British Virgin Islands Financial Services Commission..

Deriv (V) Ltd ina leseni na inadhibitiwa na Vanuatu Financial Services Commission.

Deriv (SVG) LLC ina ofisi iliyosajiliwa katika First Floor, SVG Teachers Credit Union Uptown Building, Corner of James and Middle Street, Kingstown P.O., St Vincent na Grenadines.

Deriv.com Limited, kampuni iliyosajiliwa huko Guernsey, ni kampuni mama ya tanzu hizi.

Hakikisha unasoma Vigezo na Masharti yetu, Ufichuzi wa Hatari, na Biashara Salama na Inayowajibika ili kuelewa kikamilifu hatari zinazoweza kuwepo kabla ya kutumia huduma zetu. Tafadhali kumbuka kuwa maelezo kwenye wavuti hii hayajumuishi ushauri wa uwekezaji.

Bidhaa zinazotolewa kwenye wavuti yetu ni bidhaa tata za derivative ambazo zina hatari kubwa ya hasara. CFDs ni vyombo tata na vyenye hatari kubwa ya kupoteza pesa haraka kutokana na mkopo. Unapaswa kuzingatia ikiwa unaelewa jinsi bidhaa hizi zinavyofanya kazi na ikiwa unaweza kumudu kuchukua hatari kubwa ya kupoteza pesa zako.