Programu za ushirikiano na Deriv

Shirikiana na mtoa huduma anayeaminika katika biashara mtandaoni.

Kuhusu Deriv

Deriv.com kwenye kompyuta mpakato na simu

Kuhusu Deriv

Deriv ina rekodi iliyothibitishwa ya kutoa bidhaa zinazoongoza sokoni ambazo zinaaminika ulimwenguni kote.

Tunatoa uwanda mpana zaidi wa machaguo ya derivatives za kufanya biashara, kwa bei za juu na kuenea kwa kasi ambapo huvutia zaidi ya wafanyabiashara mtandaoni milioni 2.5 ulimwenguni kote. Teknolojia yetu inatoa uzoefu bora na rahisi wa kufanya biashara, ikiwezesha wateja wetu kuelewa hatari kwa ufanisi zaidi na kufanya maamuzi ya biashara kwa ufasaha.