mshirika

Kuwa wakala wa malipo kwenye Deriv

Panua msingi wa mteja wako, pata upeo wa ziada kibiashara, na upate mapato zaidi unapojisajili kama wakala wa malipo kwenye Deriv.

Tutumie barua pepe ili kutuma maombi

Penya katika soko lililojidhatiti na linalokuwa

Fikia mamia ya wafanyabiashara kwenye jukwaa letu wanaotafuta njia za kuweka fedha kwenye akaunti zao kupitia benki wires za ndani na njia za e-payment.

Msichana anazungumza na kikundi cha watu
Msichana anazungumza na kikundi cha watu

Wakala wa malipo wa premium

Mawakala wa malipo wenye idadi nzuri ya ufanyaji miamala huchaguliwa kujiunga na mtandao wa kipekee wa washirika ambapo wanaweza kuhamishiana fedha baina yao kupitia akaunti zao za Deriv. Ikiwa wakala anahitaji msaada wa mtiririko wa fedha, anaweza kuambizana na wengine ili kusaidika. Ni idadi fulani tu ya nambari ya mawakala wa malipo huchaguliwa kwa kila nchi.

Kwa maelezo zaidi, wasiliana na meneja wa nchi yako.

Inapatikana katika nchi hizi pekee:

_t_Botswana_t_ flag

Botswana

_t_India_t_ flag

India

_t_Nigeria_t_ flag

Nigeria

_t_Sri Lanka_t_ flag

Sri Lanka

_t_Tanzania_t_ flag

Tanzania

_t_Zimbabwe_t_ flag

Zimbabwe