Hisa & faharisi

Biashara ya hisa za kimataifa yenye chapa upendazo kutumia nyumbani na Dira ya soko la hisa za kimataifa kwenye Deriv. Panua fursa zako za biashara na ufikiaji anuwai wa hisa na faharisi kwa bei za ushindani, na urahisi wa kufanya biashara za Dira yaidi ya masaa ya kawaida ya soko.
Unda demo akaunti
bango

Biashara ya hisa & faharisi inayopatikana kwenye Deriv

Biashara ya CFD hukuruhusu kufanya biashara kwenye mwenendo wa bei ya mali bila kununua au kumiliki mali ya msingi.

Kwenye Deriv, unaweza kufanya biashara ya CFDs kwa mkopo mkubwa, mkopo hukuwezesha kulipa thamani ya sehemu tu ya mkataba. Mkopo utakuza faida yako inayowezekana lakini pia kuongeza uwezekano wa hasara zako.

Vyombo vinavyopatikana kwa biashara ya CFD

Dira ya
Amerika

alama

US 500

alama

US Tech 100

alama

Wall Street 30

Kila moja ya faharisi hizi huiga utendaji wa makampuni makubwa yanayouza hadharani katika sehemu ya uchumi wa Marekani (US).

US 500 inafuata utendaji wa hisa wa kampuni kubwa 500 za umma zinazouza nchini Marekani (US)

US Tech 100 inafuata utendaji wa hisa za kampuni 100 kubwa zisizo za kifedha nchini Marekani.

Wall Street 30 inafuata utendaji wa hisa za kampuni 30 kubwa zilizoorodheshwa nchini Marekani (US).

Dira ya
Asian

alama

Australia 200

alama

Japani 225

Kila moja ya faharisi hizi huiga utendaji wa makampuni makubwa yanayouza hadharani katika soko la kifedha kwenye ukanda wa Asia/Oceania.

Australia 200 inafuata utendaji wa hisa za kampuni kubwa 200 zilizoorodheshwa nchini Australia.

Japan 225 inafuata utendaji wa hisa za kampuni kubwa 225, zinazomilikiwa na umma katika nchi ya Japan.

Dira ya
Ulaya

alama

Ulaya 50

alama

Ufaransa 40

alama

Ujerumani 40

alama

Uholanzi 25

alama

Uhispania 35

alama

UK 100

Kila moja ya faharisi hizi huiga utendaji wa makampuni makubwa yanayouza hadharani katika masoko ya kifedha Ulaya.

Ulaya 50 Dira hufuata utendaji wa hisa 50 kubwa zaidi zinazonunulika na kuuzika katika nchi za EU.

Ufaransa 40 inafuata utendaji wa hisa 40 zinazouzwa zaidi kati ya kampuni 100 kubwa zilizoorodheshwa nchini Ufaransa.

Ujerumani 40 inafuata utendaji wa hisa za kampuni 40 kubwa zilizoorodheshwa nchini Ujerumani.

Uholanzi 25 inafuata utendaji wa hisa za kampuni 25 zinazouza zaidi katika nchi ya Uholanzi.

Uhispania 35 inafuata utendaji wa hisa za kampuni 35 za juu katika nchi ya Uhispania.

UK 100 inafuata utendaji wa hisa za kampuni 100 kubwa zilizoorodheshwa nchini Uingereza (UK).

Hisa

alama

Adidas Salomon

alama

Advanced Micro Devices Inc

alama

Airbnb

alama

Airbus SE

alama

Air France KLM SA

alama

Alibaba Group Holding Ltd

alama

Alphabet Inc Class C

alama

Amazon.com Inc

alama

American Airlines Group Inc

alama

American International Group

alama

Apple

alama

Benki ya Amerika

alama

Bayer AG

alama

Biogen Inc

alama

BMW

alama

Boeing

alama

Cisco Systems

alama

Citigroup

alama

Coca-Cola

alama

Continental AG

alama

Delta Air Lines

alama

Deutsche Bank AG

alama

Deutsche Lufthansa AG

alama

eBay Inc

alama

Facebook Inc

alama

Fedex

alama

Fox Corp Class B

alama

General Motors Company

alama

Goldman Sachs Group

alama

Home Depot Inc

alama

HP Inc

alama

IBM

alama

Intel

alama

Johnson & Johnson

alama

JP Morgan Chase

alama

Mastercard Inc

alama

McDonald's

alama

Microsoft Corporation

alama

Moderna Inc

alama

Netflix Inc

alama

Nike

alama

NVIDIA Corp

alama

Paypal

alama

PepsiCo Inc

alama

Pfizer

alama

Porsche Automobil Holding SE

alama

Procter & Gamble

alama

Puma SE

alama

Salesforce.com Inc

alama

Sony Group Corp

alama

Tesla Inc

alama

Teva Pharmaceutical Inds

alama

Uber Technologies Inc

alama

Visa

alama

Walmart Inc

alama

Walt Disney Company

alama

Zoom Video Communications Inc

Unataka kufahamu zaidi kuhusu vigezo vya biashara za CFDs kwa vyombo tunavyotoa?

Angalia vipimo vya biashara

Kwa nini ufanye biashara ya hisa & faharisi kwenye Deriv

Mtaji mdogo
Mahitaji madogo ya mtaji, hatari kidogo
Muda wa biashara
Muda ulioongezwa wa kufanya biashara, hadi masaa 18 kwa siku
Urahisi wa kuweka na kutoa pesa
Chaguzi za kuweka na kutoa pesa haraka na salama
Majukwaa rahisi ya kufanya biashara
Jukwaa sikivu, na rahisi kutumia
Timu mahiri ya msaada
Msaada bora na wa kirafiki, siku 7 za wiki

Masoko mengine ambayo unaweza kuvutiwa nayo