Vigezo na masharti

Hapa utapata maelezo kuhusu sera zetu za kisheria na jinsi zinavyotumika kwako. Nyaraka zilizounganishwa kwa pamoja zinaunda masharti yetu ya kawaida ya matumizi (Masharti). Ni muhimu ufahamu kuhusu Masharti haya na ukubaliane nayo kabla ya kutumia tovuti, bidhaa au huduma zetu zozote.

Masharti ya jumla ya matumizi

Unachokubali wakati unapojisajili kutumia Deriv

Masharti ya biashara

Kanuni za kufanya biashara kwenye jukwaa lolote la biashara la Deriv

Fedha & uhamisho

Masharti ambayo yanasimamia kuhamisha au kutunza fedha na Deriv pamoja na bonasi ambazo unaweza kupata

Usalama & faragha

Jinsi tunavyotumia na kulinda taarifa zako unazotupatia

Ufichuzi wa hatari

Notisi ya kukusaidia kuelewa hatari ambazo zinaweza kutokea wakati unafanya biashara kwenye Deriv

Masharti ya ziada

Masharti na vizuizi vya ziada kwa wateja wa Deriv katika baadhi ya nchi