Kwa nini utuchague sisi

Uaminifu kwa mteja ndio kipaumbele chetu cha juu, na ndio sababu mamilioni ya watumiaji hutuchagua. Hapa kuna mambo kadhaa ambayo hutufanya tuwe mtoa huduma anayeongoza wa biashara mtandaoni.


Rekodi iliyothibitishwa

Rekodi iliyothibitishwa

Deriv Group ina historia ambayo inarejelea mwaka 1999 wakati tuliweka msingi wa huduma ya kwanza ya biashara ya fixed-odds. Tangu wakati huo, tumekua shupavu, na tukiendelea kuaminiwa na wafanyabiashara kote ulimwenguni.

Leseni na udhibiti

Leseni na udhibiti

Deriv inasimamiwa na vyombo kadhaa ikiwa ni pamoja na Malta Financial Services Authority (MFSA), Labuan Financial Services Authority (Labuan FSA), Vanuatu Financial Services Commission (VFSC), na British Virgin Islands Financial Services Commission.

Ulinzi wa pesa za mteja

Ulinzi wa pesa za mteja

Deriv haitumii pesa zako kwa maslahi yake binafsi ya biashara na unaruhusiwa kutoa pesa zako muda wowote. Pesa zako zote zimetengwa na kuwekwa katika taasisi salama za kifedha. Kwa njia hii, kama ikatokea tukio la Deriv kufilisika, pesa zako zote zitarudishwa kwako kwa sababu hazijaunganishwa kamwe na zetu.

Ufahamu na usimamizi wa hatari

Ufahamu na usimamizi wa hatari

Biashara ya mtandao inafurahisha lakini inaweza kuleta athari kama uraibu. Hapa Deriv, tunawajali wateja wetu na kuangalia maslahi kwa kuwahimiza wafanye mazoezi kwanza na wajifunze biashara salama na inayowajibika. Kama wewe ni mgeni katika hili, unaweza kujifunza biashara hii bila ukomo kwa kutumia fedha dhahania (zisizo halisi) kabla hujamua kuhatarisha pesa zako.

Msaada unapouhitaji

Msaada unapouhitaji

Timu ya msaada ya Deriv inapatikana kupitia mazungumzo mubashara 24/7 - hata katika wikiendi. Unaweza pia kupata majibu katika Kituo chetu cha msaada na kupata msaada kutoka kwa wafanyabiashara wenzako katika Jumuiya.

Uzoefu wa kwanza wa biashara kwa mteja

Uzoefu wa kwanza wa biashara kwa mteja

Deriv hurahisisha kwa mtu yeyote kuanza kufanya biashara, kuelewa hatari na kufanya maamuzi bora ya kibiashara. Zana na majukwaa yetu huwa na maelekezo ya wazi nani rahisi kuyatumia. Pia tunatoa habari za soko, uchambuzi, warsha za kimtandao, ebooks, mafunzo ya video na makala za kituo cha msaada ili kukusaidia kupata maarifa na kuwa mfanyabiashara bora.

Usalama wako, kipaumbele chetu

Usalama wako, kipaumbele chetu

Katika Deriv, tunatekeleza hatua bora za usalama kama vile usimbaji fiche wa SSL kulinda akaunti yako na taarifa binafsi.


Jaribu Deriv bila hatari

Fedha dhahania zisizo na ukomo

Fanya mazoezi ya kufanya biashara na Deriv kwa muda mrefu upendavyo. Hakuna hatari, hakuna ada zilizofichwa.

Masoko yote na majukwaa

Furahia ufikiaji kamili wa masoko na majukwaa yetu yote.

Hakuna credit kadi inayohitajika

Jisajili na barua pepe yako tu. Hakuna haja ya kuweka credit kadi au kiwango cha chini kinachohitajika.