Biashara CFD

Biashara ya CFD ni nini?

Mkataba tofauti/ contract for difference (CFD) hukuruhusu kufanya biashara kwenye mwenendo wa bei ya mali, bila kununua mali ya msingi.

Kwenye Deriv, unaweza kufanya biashara na CFD:

Mkopo mkubwa — Mkopo hukuruhusu kufungua nafasi kubwa ukiwa na salio kidogo katika akaunti yako ya biashara. Kadri mkopo ulivyo mkubwa, uhitaji wa pesa unakuwa kidogo.

Tight spreads — Kuenea ni tofauti kati ya bei ya kununua na bei ya kuuza. Kadiri ueneaji unavyozidi kuwa mdogo, ndivyo gharama ya kuingia sokoni inavyopungua.

Kwa nini ufanye biashara ya CFDs kwenye Deriv

Mkopo mkubwa, tight spreads

Mkopo mkubwa, tight spreads

Chukua faida ya mkopo mkubwa na tight spreads kwenye majukwaa ya biashara ya CFD ya Deriv.
Masoko yako yote unayopenda

Masoko yako yote unayopenda

Fanya biashara kwenye masoko ya kifedha pamoja na faharisi zetu sanisi za wamiliki ambazo zinapatikana 24/7.
Urahisi wa kuweka na kutoa pesa

Go long au short

Fungua nafasi ndefu au fupi kulingana na utabiri wako wa mienendo ya bei za soko.
Msaada wa kirafiki toka kwa mtaalam

Msaada wa kirafiki toka kwa mtaalam

Pata mtaalam, msaada wa kirafiki wakati unahitaji.
Ufikiaji wa papo hapo

Ufikiaji wa papo hapo

Fungua akaunti na anza kufanya biashara ndani ya dakika.
Swap free

Akaunti ya Swap-free MT5

Acha biashara zako wazi usiku kucha bila makato ya ziada.

Je, bado hauna akaunti ya Deriv?

Unda demo akaunti