_t_Deriv ctrader logo_t_
_t_Deriv ctrader logo_t_

Vipengele vingi
Biashara CFD
jukwaa

Vipengele vingi Biashara CFD jukwaa

Deriv ctrader online trading platform
Deriv ctrader online trading platform

200+

mali zinazoweza kuuzwa

24/7

biashara

Sifuri

gawio

Deriv cTrader ni nini

Deriv cTrader ni jukwaa rahisi kutumia, lenye mali nyingi za biashara ya CFD na lililosheheni safu za vipengele mbalimbali na muonekano rafiki kwa mtumiaji. Boresha uzoefu wako wa biashara zaidi kwa vipengele kama vile kunakili biashara, kusimamisha na kuzuia oda, biashara ya chati na viashiria maalum.

Kwa nini ufanye biashara na Deriv cTrader

Easy start

Mali nyingi kwenye jukwaa moja

Biashara ya forex, hisa & faharisi, cryptocurrencies, bidhaa, na Dira ya derived katika sehemu moja.

24/7 chat

Biashara 24/7

Fanya biashara ya cryptocurrencies na Dira ya sanisi wakati wowote, hata wikiendi na likizo.

Ctrader copy trading

Nakili biashara

Nakili mikakati ya biashara ya wafanyabiashara waliobobea kwa ada.

Favourite assets

Usajili wa akaunti ni haraka

Fanya mazoezi na demo akaunti iliyopakiwa tayari na fedha dhahania bila kikomo.

Kiolesura cha kueleweka

Nufaika na kiolesura rahisi kutumia kwa biashara na chati ambazo wafanyabiashara wapya na wenye uzoefu wanaweza kufurahia.

Deriv cTrader web terminal interface showcasing the features

Mali zote unazopenda, katika sehemu moja

Fanya biashara ya derived na mali za kifedha kwenye akaunti moja ya CFD, bila haja ya kubadilisha kati ya akaunti nyingi.

A watchlist of popular currency pairs available on Deriv cTrader

Tambua mipaka yako ya biashara

Menyu muhimu ambazo zinaweza kusaidia kujua jinsi margin ya kila mali inavyoathiri biashara zako kabla ya kuziweka.

Menu for calculating trade margins feature

Nakili biashara vile utakavyo

Dhibiti hatari yako kwa kutawanya fedha zako katika mikakati mbalimbali ya biashara.

List of trading strategy providers in the copy trading terminal

Nakili biashara kwenye Deriv cTrader

Nakili biashara kwenye Deriv cTrader kwa kujisajili kwenye mikakati imara ya wafanyabiashara kwa ada. Tafuta mkakati unaoupenda, na uutumie kwenye biashara zako kwa kugusa kitufe.

Kwa nini unakili biashara?

Various trading strategies

Mikakati mbalimbali ya biashara

Chagua kutoka katika orodha ya watoa huduma za mkakati na utafute mkakati wa biashara unaokufaa.

You call the shots

Wewe ndiye unayetoa maamuzi

Chagua kusimamisha biashara au kujiondoa kutoka kwa mtoa huduma za mikakati wakati wowote unapotaka.

Risk management tools

Zana za usimamizi wa hatari

Punguza uwezekano wa hatari zinazohusiana na mikakati uliyochagua ya biashara.

Jinsi ya kuanza na akaunti ya Deriv cTrader

step
  • 1. Ingia kwenye akaunti yako ya Deriv. Ikiwa hauna akaunti? Jisajili bure.

  • 2. Nenda kwenye Trader's hub na uchague chaguo la Demo.

  • 3. Chini ya CFDs, tafuta Deriv cTrader na chagua Pata.

step
  • 1. Ingia kwenye akaunti yako ya Deriv. Ikiwa hauna akaunti? Jisajili bure.

  • 2. Nenda kwenye Trader's hub na uchague chaguo la Demo.

  • 3. Chini ya CFDs, tafuta Deriv cTrader na chagua Pata.

Nembo ya Deriv X

Fanya biashara ukiwa na Deriv cTrader

Angalia majukwaa yetu mengine

ikoni

Deriv MT5

Majukwaa yote kwa pamoja kwenye biashara ya CFD.

Jifunze zaidiMshale
ikoni

Deriv Trader

App yetu kinara kwa biashara ya chaguzi na multipliers.

Jifunze zaidiMshale
ikoni

Deriv X

Jukwaa la biashara la CFD linaloendana na mtindo wako.

Jifunze zaidiMshale
ikoni

Deriv Go

Uzoefu bora zaidi wa biashara kwa simu yako ya mkononi.

Jifunze zaidiMshale
ikoni

Deriv Bot

Weka biashara yako kiotomatiki. Hakuna usimbaji unaohitajika.

Jifunze zaidiMshale

Vinjari maswali yanayoulizwa mara kwa mara (FAQ)

Deriv (FX) Ltd ina leseni ya Labuan Financial Services Authority.

Deriv (BVI) Ltd ina leseni ya British Virgin Islands Financial Services Commission..

Deriv (V) Ltd ina leseni na inadhibitiwa na Vanuatu Financial Services Commission.

Deriv (SVG) LLC ina ofisi iliyosajiliwa katika First Floor, SVG Teachers Credit Union Uptown Building, Corner of James and Middle Street, Kingstown P.O., St Vincent na Grenadines.

Deriv.com Limited, kampuni iliyosajiliwa huko Guernsey, ni kampuni mama ya tanzu hizi.

Hakikisha unasoma Vigezo na Masharti yetu, Ufichuzi wa Hatari, na Biashara Salama na Inayowajibika ili kuelewa kikamilifu hatari zinazoweza kuwepo kabla ya kutumia huduma zetu. Tafadhali kumbuka kuwa maelezo kwenye wavuti hii hayajumuishi ushauri wa uwekezaji.

Bidhaa zinazotolewa kwenye wavuti yetu ni bidhaa tata za derivative ambazo zina hatari kubwa ya hasara. CFDs ni vyombo tata na vyenye hatari kubwa ya kupoteza pesa haraka kutokana na mkopo. Unapaswa kuzingatia ikiwa unaelewa jinsi bidhaa hizi zinavyofanya kazi na ikiwa unaweza kumudu kuchukua hatari kubwa ya kupoteza pesa zako.