Njia za malipo
Weka pesa kwenye akaunti yako kwa kuchagua njia mbalimbali za kuweka na kutoa pesa.
Kadi za credit & debit
Weka pesa kupitia kadi kirahisi.
Benki mtandao
Tuma na pokea malipo moja kwa moja kutoka katika akaunti yako ya benki.
Mobile Payments
Lipa popote ulipo kwa kutumia simu yako kwa urahisi wa papo hapo.




E-wallets
Nufaika na usalama na uharaka wa malipo kwa Deriv ukitumia e-wallet yako.
Cryptocurrencies
Fanya malipo kwa cryptocurrencies za juu.
On-ramp / Off-ramp
Tuma crypto moja kwa moja kwenye akaunti ya Deriv, pata malipo kwa fiat.


Vocha
Njia rahisi ya kufanya malipo bila kadi au akaunti za benki.
Deriv P2P
Weka fedha katika akaunti yako kupitia huduma yetu ya kuweka na kutoa ya peer-to-peer.


Deriv peer-to-peer (Deriv P2P)
Huduma ya peer-to-peer niya haraka na salama kwa kuweka na kutoa pesa.
Badilishana kwa urahisi na wafanyabiashara wenzako ili kuhamisha fedha ndani na nje ya akaunti yako ya Deriv.
Chagua viwango bora
Badilisha sarafu ya ndani ya nchi yako kwa kiwango unachopendelea.
Pata msaada wetu
Timu yetu ya msaada daima iko tayari kusaidia kutatua migogoro yoyote.
Wasiliana katika wakati halisi
Chati katika app na mfanyabiashara uliyemchagua ili kufanya ubadilishanaji kwa haraka.


Weka na toa pesa kwa haraka
Kwenye Deriv P2P, ubadilishaji wote hukamilika ndani ya masaa 2.
Badilishana na wafanyabiashara wanaoaminika
Wafanyabiashara wanapimwa kulingana na kiwango chao cha ubadilishaji walichokamilisha na kasi ya ubadilishaji.
Njia
Sarafu
Akaunti za Deriv zinazotumika
Kikomo cha kuweka kwa siku
Kikomo cha kutoa pesa kwa siku
Muda wa kushughulikia
Sarafu ya ndani ya nchi yako
Deriv USD akaunti
Hadi USD 10,000*
Hadi USD 10,000*
Max saa 1
Sarafu ya ndani ya nchi yako
Sarafu
Deriv USD akaunti
Akaunti za Deriv zinazotumika
Hadi USD 10,000*
Kikomo cha kuweka kwa siku
Hadi USD 10,000*
Kikomo cha kutoa pesa kwa siku
Max saa 1
Muda wa kushughulikia
*Upatikanaji wa Deriv P2P unategemea nchi yako ya makazi.