Kwa nini utuchague sisi
Kwa zaidi ya miaka 25, Deriv imekuwa mshirika wa kuaminika kwa wafanyabiashara duniani kote.
Tunajivunia mtindo wetu wa kumzingatia mteja, tukihakikisha kwamba masilahi yao daima ndio kipaumbele chetu. Rekodi yetu nzuri iliyothibitishwa katika biashara inayodhibitiwa, pamoja na ulinzi madhubuti wa pesa za wateja, inatufanya kuwa chaguo bora kwa wafanyabiashara.
Tuzo zetu
of the Year
Service - Global
2024
Year - Global
Programme
Awards 2024
Region Broker
2024
Broker - Africa
Experience Latam
2024
Institutions (MENA)
2024
Year - Global
2023
2023
Broker Latam
2023
2022
Broker Africa
of the Year
Service - Global
Awards 2024
Broker
2024
Year - Global
2024
Programme
Awards 2024
Region Broker
2024
Broker - Africa
Experience Latam
2024
Institutions (MENA)
2024
2024
Broker
2023
Broker Latam
2023
Program
2022
Broker Africa
of the Year
Service - Global
Awards 2024
Broker
2024
Year - Global
2024
Region Broker
2024
Broker - Africa
Experience Latam
2024
Institutions (MENA)
2024
2024
Broker
2023
Broker Latam
2023
Program
2022
Broker Africa
Rekodi iliyothibitishwa
Deriv Group ina historia ambayo inarejelea mwaka 1999 wakati tuliweka msingi wa huduma ya kwanza ya biashara ya fixed-odds. Tangu wakati huo, tumekua shupavu, na tukiendelea kuaminiwa na wafanyabiashara kote ulimwenguni.
Leseni na udhibiti
Deriv inasimamiwa na vyombo kadhaa ikiwa ni pamoja na Malta Financial Services Authority (MFSA), Labuan Financial Services Authority (Labuan FSA), Vanuatu Financial Services Commission (VFSC), na British Virgin Islands Financial Services Commission.
Ulinzi wa pesa za mteja
Deriv haitumii pesa zako kwa maslahi yake ya biashara na unaruhusiwa kutoa pesa zako wakati wowote. Fedha zako zote zimegawanywa na kuhifadhiwa katika taasisi salama za kifedha. Kwa njia hii, kama ikatokea tukio la Deriv kufilisika, pesa zako zote zitarudishwa kwako kwa sababu hazijaunganishwa kamwe na zetu.
Ufahamu na usimamizi wa hatari
Biashara ya mtandaoni ni ya kusisimua lakini inahusisha hatari na inaweza kusababisha uraibu. Katika Deriv, tunaangalia maslahi bora ya wateja wetu na tunawahimiza kufanya biashara salama na uwajibikaji. Kama wewe ni mgeni katika hili, unaweza kujifunza biashara hii bila ukomo kwa kutumia fedha dhahania (zisizo halisi) kabla hujamua kuhatarisha pesa zako.
Msaada unapouhitaji
Timu ya usaidizi wa Deriv inapatikana kupitia mazungumzo mubashara 24/7 - hata wikendi. Unaweza pia kupata majibu kwenye Kituo chetu cha Msaada na kupata msaada kutoka kwa wafanyabiashara wenzako katika Jumuiya.
Msaada unapouhitaji
Timu ya usaidizi wa Deriv inapatikana kupitia mazungumzo mubashara 24/7 - hata wikendi. Unaweza pia kupata majibu kwenye Kituo chetu cha Msaada na kupata msaada kutoka kwa wafanyabiashara wenzako katika Jumuiya.
Uzoefu wa kwanza wa biashara kwa mteja
Deriv inafanya iwe rahisi kwa mtu yeyote kuanza biashara, kuelewa hatari, na kufanya maamuzi bora ya biashara. Zana na majukwaa yetu huwa na maelekezo mepesi na ni rahisi sana kuvinjari. Pia tunatoa habari za soko mara kwa mara, uchambuzi, warsha za kimtandao, ebooks, mafunzo kwa njia ya video na makala za kituo cha msaada ili kukusaidia kupata habari na kuwa mfanyabiashara bora.
Usalama wako, kipaumbele chetu
Katika Deriv, tunatekeleza hatua bora za usalama kama vile usimbaji fiche wa SSL kulinda akaunti yako na taarifa binafsi.
Fanya biashara bila hatari na akaunti ya biashara ya demo
Fedha dhahania zisizo na ukomo
Fanya mazoezi ya biashara na Deriv kwa muda mrefu unavyopenda. Hakuna hatari, hakuna ada iliyofichwa.
Masoko yote na majukwaa
Furahia ufikiaji kamili wa masoko na majukwaa yetu yote.
Hakuna credit kadi inayohitajika
Jisajili kwa barua pepe yako tu. Hakuna credit kadi au kiasi cha chini kinachohitajika.