Deriv MT5 signals
Huduma ya biashara ya ishara za MT5 inakuruhusu wewe kujiandikisha na kuiga biashara za wafanyabiashara wazoefu au kutoa mikakati yako kwa wafanyabiashara wengine kwa ada ya usajili.
Iga biashara za wataalam moja kwa moja kwenye akaunti yako ya Deriv MT5 bure au kwa ada. Mara tu unapojiandikisha kwa ishara ya biashara, mikataba ya mtoa huduma itaigwa moja kwa moja kwenye akaunti yako ya biashara ya Deriv MT5 kila mara watakapo fanya biashara.
Faida za kujiandikisha kwenye ishara za biashara za MT5
Punguza hatari ya biashara kwa kunakili kutoka kwa wafanyabiashara wabobevu.
Hifadhi muda – kujiandikisha kwa ishara unafanya biashara kuwa otomatiki.
Rahisi kusanidi - hakuna usakinishaji unaohitajika.
Ufichuzi kamili wa utendaji wa kila mtoa huduma.
Hakuna magawio wala ada zinazofichwa.
1. Nenda kwenye MQL5 Signals
Katika terminal yako ya biashara ya MT5, nenda kwenye Zana na uchague MQL5 Signals.
2. Jisajili kwa mtoa huduma za ishara
Chagua mtoa ishara unae pendelea na bonyeza “Jiandikishe”.
3. Maliza usajili wako
Panga vigezo vyako vya biashara na usimamizi wa hatari. Kisha bonyeza “sawa” kukamilisha usajili.
Jinsi ya kurejesha au kughairi usajili wako
1. Nenda kwenye Takwimu Zangu
Katika paneli ya Navigator, nenda kwenye Ishara na bonyeza ‘Takwimu Zangu’.
2. Chagua mtoa huduma
Chagua mtoa huduma wa ishara unayemtaka kuhuisha au kufuta usajili wako.
3. Huisha au jiondoe
Bofya ”Renew” au “Unsubscribe” ili kufufua au kughairi usajili wako.
FAQs
Inagharimu kiasi gani kujiandikisha kwa ishara ya MT5?
Nitatungeje mtoa ishara anayeaminika?
Ikiwa wewe ni trader mtaalamu, shiriki mikakati yako na traders wengine bure au kupitia mpango wa usajili. Wakati traders wanaposajili kwa ishara yako ya biashara, maagizo yako yanaigwa moja kwa moja kwenye akaunti zao kila wakati unachanganya biashara.
Faida za kuwa mtoa ishara za biashara za MT5
Rahisi kusanidi - hakuna usakinishaji unaohitajika.
Mkondo wa mapato ya ziada kutoka kwa usajili wa kila mwezi.
Hifadhi muda – biashara zinaigwa moja kwa moja kwenye akaunti ya wasajili wako.
Jinsi ya kuwa mtoa ishara za biashara
1. Jiandikishe kama muuzaji
Ingia kwenye akaunti yako ya MQL5. Katika ukurasa wa ishara, bonyeza ‘Register’ na ufuate hizi hatua.
2. Ongeza ishara
Bonyeza “Leta ishara” na kamilisha fomu ukiwa na ithibitisho za akaunti yako ya Deriv MT5.
3. Simamia ishara
Nenda kwenye sehemu "My Signals" ili kusimamia ishara zako.