Programu za ubia Deriv

Washirika na IBs

Jiunge na programu yetu ya Broker Mwakilishi & programu ya Mshirika. Alika na ulipwe. Zidisha uwezo wa faida kwa kutumia mipango yetu ya gawio iliyoboreshwa.

Programu za ubia Deriv

Mawakala wa malipo

Panua msingi wa mteja wako, pata upeo wa ziada kibiashara, na upate mapato zaidi unapojisajili kama wakala wa malipo kwenye Deriv.

Programu za ubia Deriv

Deriv Prime

Shirikiana nasi kwa suluhisho za ukwasi zinazotegemea data, zilizoundwa kwa ajili ya broker wanaoanza ili kukua kimaendeleo katika masoko yenye ushindani.

Programu za ubia Deriv

Deriv API

Tumia API yetu yenye nguvu, inayoweza kubadilishwa, na bure kujenga jukwaa la biashara la kawaida - kwa ajili yako mwenyewe au biashara yako.

1999

Ilianzishwa tangu

1M+

Wafanyabiashara hai

USD 15T+

Jumla ya mauzo ya biashara

USD 45M+

Utoaji mwezi uliopita
Laptop and smartphone displaying financial charts and trading application interface by Deriv

Kuhusu Deriv

Deriv ina rekodi iliyothibitishwa ya kutoa bidhaa zinazoongoza soko ambazo zinaaminika ulimwenguni kote.

Tunatoa uchaguzi mpana zaidi wa derivatives za biashara, kwa bei ya juu na tight spreads ambapo huvutia zaidi ya wafanyabiashara milioni 2.5 mtandaoni ulimwenguni kote. Teknolojia yetu hutoa uzoefu wa biashara wenye mantiki na nguvu, ikiwezesha wateja wetu kuelewa hatari kwa ufanisi zaidi ili kufanya maamuzi ya biashara yaliyo bora zaidi.

Kwa nini uwe Mbia wa Deriv

An illustration indicating a protected partnership

Ushirikiano na nguli anayeaminika

Nufaika na uzoefu wetu mkubwa wa zaidi ya miaka 20 na sifa zetu zinazotambulika kimataifa.

An illustration indicating expert support

Msaada wa wataalam

Mameneja wa ushirika wenye uzoefu hujibu maswali yako yote na kukupa nyenzo bora za kujiendeleza na elimu.

An illustration representing no hidden cost

Hakuna malipo au ada zilizofichwa

Programu zote za ubia na Deriv ni bure kujiunga. Hakuna malipo kabisa au ada zilizofichwa za kuwa na wasiwasi.