Ninawezaje kutoa fedha kutoka kwenye akaunti yangu halisi ya Deriv MT5?
Utahitaji kuhamisha fedha kutoka kwenye akaunti yako ya Deriv MT5 kuelekea akaunti yako ya Deriv. Uhamishaji unafanyika papo hapo, na fedha zako zitapatikana kwenye akaunti yako ya Deriv mara utakapokamilisha uhamishaji.






