Ninawezaje kuweka fedha kwenye akaunti yangu halisi ya fedha ya Deriv MT5?
Utahitaji kuhamisha fedha kutoka kwenye akaunti yako ya Deriv kwenda kwenye akaunti yako ya Deriv MT5. Uhamishaji unafanyika papo hapo, na fedha zako zitapatikana kwenye akaunti yako ya Deriv MT5 mara utakapokamilisha uhamishaji.






