Ninawezaje kuingia kwenye akaunti yangu ya Deriv MT5?
Unaweza kuingia kwenye akaunti yako ya Deriv MT5 kupitia programu ya MT5 ya kompyuta, terminal ya mtandaoni, au programu ya simu. Utahitaji kitambulisho cha kuingia (login ID) na jina la seva kutoka kwenye dashibodi yako ya Deriv MT5. Tafadhali tumia nenosiri lako la Deriv MT5 kuingia kwenye Deriv MT5.






