Ninawezaje kubadilisha nenosiri langu la Deriv MT5?
Fuata hatua hizi ili kuweka upya nenosiri lako la Deriv MT5:
1. Fungua akaunti yako ya Deriv MT5.
2. Bofya Details.
3. Bofya Forgot password. Utaombwa kuweka nenosiri jipya kwa akaunti yako ya Deriv MT5.
4. Tutatuma msimbo wa uthibitisho kwenye barua pepe yako. Weka msimbo wa uthibitisho ili kuthibitisha uwekaji upya wa nenosiri.
5. Utaona skrini inayothibitisha kuwa uwekaji upya wa nenosiri lako umefanikiwa.
Sasa unaweza kuingia kwenye Deriv MT5 kwa kutumia nenosiri lako jipya.






