Akaunti
Unaweza kufanya hivyo kwenye Wasifu wako. Ikiwa huwezi kusasisha maelezo yako, tafadhali wasiliana nasi kupitia mazungumzo mubashara. Huenda tukahitaji ututumie baadhi ya hati kwa ajili ya uthibitishaji.
Hizi hapa ni baadhi ya sababu zinazoweza kukufanya usiweze kuunda akaunti:
- Upo chini ya umri wa miaka 18.
- Huenda tayari una akaunti ya Deriv.
- Huduma zetu hazipatikani katika nchi yako ya makazi.
Unaweza kurejelea masharti yetu kwa maelezo zaidi.
Ni ada ambayo tunatoza kwa akaunti ambazo hazijatumiki kwa miezi 12 iliyopita. Rejea masharti yetu kwa maelezo zaidi.
Inategemea sheria za nchi yako ya makazi. Tafadhali pata ushauri wa kitaalamu ikiwa unatakiwa kulipa kodi kwa faida yako.
Kulingana na masharti yetu, tunaruhusu akaunti moja tu kwa kila mteja.
Unaweza kuamsha akaunti yako kwa kuingia ukiwa na barua pepe yako au nambari ya simu na nenosiri. Ikiwa huwezi kufanya hivyo, tafadhali wasiliana nasi kupitia mazungumzo mubashara, na tutakusaidia zaidi.









