Jukwaa la kufanya biashara kwenye simu kwa wafanyabiashara popote walipo
Chukua biashara zako popote unapoenda. Viongezaji wa Biashara na Chaguzi za Mkusanyiko kwenye Forex, Cryptocurrency na Fahirisi Zinazotokana 24/7 bila kuhatarisha zaidi ya mtaji wako wa awali.

30+
$1
24/7
Biashara 24/7
Biashara ya faharisi za sanisi na Cryptocurrencies siku zote na Forex wakati wa masaa ya kawaida ya soko.

Vipengele rafiki kwa mtumiaji
Furahia uzoefu na ulaini wa biashara ikiwa ni pamoja na urahisi wa kuchati na mandhari nzuri za kupendeza.
Ufikiaji rahisi
Pata ufikiaji wa papo hapo wa biashara zako popote ulipo wakati wowote unapotaka.
Android, iOS & Huawei
Pata Deriv GO
Udhibiti bora wa hatari
Boresha mikataba yako ili kukidhi hamu yako ya hatari kwa kutumia vipengele bunifu kama kuzuia hasara, kuchukua faida, na kughairi mpango.

Zidisha faida yako na punguza hasara yako
Ongeza faida zako hadi mara 1000 bila kupoteza zaidi ya mtaji wako wa awali kwa kutumia Multipliers.
Biashara endelevu ya Forex
Ukuaji unoongezeka maradufu
Furahia ukuaji wa hadi 5% unaokua kwa kasi kila tick katika masoko ya kando na Chaguzi Accumulator.

.webp)
Fanya biashara ya Faharisi za Sanisi
Biashara ya Volatility na Faharisi ya Crash/Boom ambazo zinaiga mwenendo wa masoko halisi ya ulimwengu.