Ninawezaje kuhifadhi mkakati wangu kwenye Deriv Bot?
Katika Bot Builder, bofya Save kwenye upau wa zana ulio juu ili kupakua bot yako. Ipe bot yako jina, kisha chagua kupakua bot yako kwenye kifaa chako au Google Drive. Bot yako itapakuliwa kama faili la XML.






