Je, kuna bot za biashara zilizotengenezwa tayari kwenye Deriv Bot?
Ndiyo, unaweza kuanza na bot iliyotengenezwa tayari kwa kutumia kipengele cha Quick strategy. Utapata baadhi ya mikakati maarufu zaidi ya biashara hapa: Martingale, D'Alembert, na Oscar's Grind. Chagua mkakati na uweke vigezo vyako vya biashara, na bot yako itaundwa kwa ajili yako. Unaweza kubadilisha vigezo hivyo wakati wowote baadaye.






