February 17, 2022
Mwongozo rahisi juu ya jinsi ya kununua crypto kwenye Deriv
Kununua crypto ili kufadhili akaunti yako ya cryptocurrency ya Deriv sasa ni rahisi zaidi kutokana na huduma zetu mpya za fiat onramp. Katika makala hii, tutaangazia nini maana ya fiat onramp na jinsi inavyofanya kazi.