Derived

Biashara kwenye bei ya mali inayotokana na masoko halisi ya ulimwengu au ya kuiga. Dhibiti hatari yako kwa kuchagua kiwango cha volatility ili kukidhi hamu yako ya hatari. Chagua kutoka kwa sanisi zetu 24/7, FX derived, na vikapu.
Unda demo akaunti
bango

Fanya biashara na sarafu upendayo dhidi ya kikapu cha sarafu kuu na ufaidike kwa hatari iliyopunguzwa na volatility.

Biashara za Dira ya kikapu zinazopatikana kwenye Deriv

Biashara ya CFD hukuruhusu kufanya biashara kwenye mwenendo wa bei ya mali bila kununua au kumiliki mali ya msingi.

Kwenye Deriv, unaweza kufanya biashara ya CFDs kwa mkopo mkubwa, mkopo hukuwezesha kulipa thamani ya sehemu tu ya mkataba. Mkopo utakuza faida yako inayowezekana lakini pia kuongeza uwezekano wa hasara zako.

Vyombo vinavyopatikana kwa biashara ya CFD

Kikapu cha Bidhaa

alama

Kikapu Dhahabu

Kikapu Dhahabu hupima thamani ya dhahabu dhidi ya kikapu cha sarafu tano za kimataifa (EUR, GBP, JPY, AUD, USD), kila moja inauzito wa 20%.

Kikapu Forex

alama

Kikapu AUD

alama

Kikapu EUR

alama

Kikapu GBP

alama

Kikapu USD

Kikapu AUD hupima thamani ya dola ya Australia dhidi ya kikapu cha sarafu tano za kimataifa (USD, EUR, GBP, JPY, CAD), kila moja inauzito wa 20%.

Kikapu EUR hupima thamani ya Euro dhidi ya kikapu cha sarafu tano za kimataifa (USD, AUD, GBP, JPY, CAD), kila moja inauzito wa 20%.

Kikapu GBP hupima thamani ya pound ya Uingereza dhidi ya kikapu cha sarafu tano za kimataifa (USD, EUR, AUD, JPY, CAD), kila moja inauzito wa 20%.

Kikapu USD hupima thamani ya US dola dhidi ya kikapu cha sarafu tano za kimataifa (EUR, GBP, JPY, CAD, AUD), kila moja inauzito wa 20%.

Unataka kufahamu zaidi kuhusu vigezo vya biashara za CFDs kwa vyombo tunavyotoa?

Angalia vipimo vya biashara

Kwa nini ufanye biashara ya Dira ya kikapu kwenye Deriv

Uzito wa sarafu
Kila sarafu inauzito wa 20%
Kuenea kwa wembamba
Mkopo mkubwa, tight spreads
Jukwaa rahisi
Jukwaa sikivu, na rahisi kutumia
Grafu na chati
Wijeti za uwekaji chati za hali ya juu
Weka na toa pesa kirahisi
Njia rahisi za kuweka na kutoa pesa

Masoko mengine ambayo unaweza kuvutiwa nayo