Kwa nini ufanye biashara ya Basket Indices na Deriv
Gharama za chini za muamala
Okoa kwenye Spreads na kamisheni kwa kufanya biashara ya sarafu nyingi ndani ya chombo kimoja.

Mfumo wa kibiashara ulio na mseto
Fanya biashara ya mchanganyiko wa sarafu katika nafasi moja, huku kila sarafu kwenye basket ikiwa na uzito sawa.

Vipengele vya usimamizi wa hatari
Tumia Kuzuia hasara, Kuchukua faida, na ulinzi wa salio hasi kulinda mtaji wako.

Tunachotoa
Gold Basket
Kwa Gold Basket, unaweza kuhedge kwa dhahabu dhidi ya sarafu 5 za kimataifa kwa biashara moja.
Forex Basket
Forex baskets hupima thamani ya sarafu moja kuu dhidi ya basket ya sarafu 5 za kimataifa.
Chunguza Basket Indices zetu
Chombo | Ukubwa wa mkataba | Sarafu ya msingi | Ukubwa wa chini | Kiwango cha juu cha Vol | Spread ya chini | Lengo la Spread kwa % | Leverage ya juu zaidi inayofanya kazi | Margin inayohitajika (%) | Swap ndefu (pts) | Swap fupi (pts) | Masaa ya biashara (gmt) |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
AUD Basket | 100 | USD | 0.01 | 10 | 0.161 | 0.03% | 1:1000 | 0.10% | -3.00 | -1.00 | Jumatatu 00:00 - Ijumaa 20:55 GMT |
Boom 100 Index | 1 | USD | 0.1 | 160 | 7.375 | 0.01% | 1:3000 | 0.03% | -5.00 | -5.00 | Jumapili 00:00 - Jumamosi 24:00 GMT |
Boom 1000 Index | 1 | USD | 0.2 | 250 | 1.7245 | 0.01% | 1:600 | 0.17% | -36.00 | -36.00 | Jumapili 00:00 - Jumamosi 24:00 GMT |
Boom 150 Index | 1 | USD | 0.5 | 1300 | 0.1705 | 0.00% | 1:2000 | 0.05% | -5.00 | -5.00 | Jumapili 00:00 - Jumamosi 24:00 GMT |
Boom 200 Index | 1 | USD | 0.1 | 130 | 7.615 | 0.01% | 1:2000 | 0.05% | -6.00 | -6.00 | Jumapili 00:00 - Jumamosi 24:00 GMT |
Boom 300 Index | 1 | USD | 0.5 | 1000 | 0.5 | 0.12% | 1:100 | 1.00% | -36.00 | -36.00 | Jumapili 00:00 - Jumamosi 24:00 GMT |
Boom 50 Index | 1 | USD | 0.1 | 200 | 1.2719 | 0.00% | 1:4000 | 0.03% | -3.50 | -3.50 | Jumapili 00:00 - Jumamosi 24:00 GMT |
Boom 500 Index | 1 | USD | 0.2 | 500 | 0.535 | 0.01% | 1:400 | 0.25% | -23.00 | -23.00 | Jumapili 00:00 - Jumamosi 24:00 GMT |
Boom 600 Index | 1 | USD | 0.2 | 470 | 0.774 | 0.01% | 1:400 | 0.25% | -36.00 | -36.00 | Jumapili 00:00 - Jumamosi 24:00 GMT |
Boom 900 Index | 1 | USD | 0.2 | 340 | 0.968 | 0.01% | 1:400 | 0.25% | -32.00 | -32.00 | Jumapili 00:00 - Jumamosi 24:00 GMT |
Taarifa inategemea data ya hivi karibuni zaidi ya biashara inayopatikana na huenda isiakisi hali za biashara za leo. Matoleo yanaweza kutofautiana kulingana na hali ya biashara.
Jinsi ya kufanya biashara ya Basket Indices kwenye Deriv
CFDs
Fanya ubashiri wa mienendo ya bei ya Basket Indices kwa leverage kubwa na viashiria vya kiufundi vya hali ya juu.

Chaguo
Tabiri mienendo ya soko ya Basket Indices bila kuhatarisha zaidi ya Dau lako la awali.


