Skip to main content

Kiasi cha chini na cha juu cha uwekaji na utoaji fedha ni kipi?

Kiasi cha chini na cha juu cha uwekaji na utoaji fedha hutofautiana kulingana na njia ya malipo. Kiasi cha chini kabisa cha uwekaji ni USD 5 kwenye Wallet yako. Utaona kiasi cha chini na cha juu cha uwekaji na utoaji fedha unapochagua njia ya malipo unapotaka kufanya uwekaji.

‍

Bado unahitaji msaada?

WhatsApp