Je, kuna ada zozote za kuweka au kuchukua fedha kwenye Deriv?
Hakuna ada za kuweka fedha kwenye Deriv Wallet yako. Kwa uchukuaji wa fedha, njia ya malipo uliyochagua inaweza kutoza ada za uchukuaji fedha. Hii itategemea njia ya uchukuaji fedha uliyochagua.






