Msaada wa haraka
Ili kuanza kupata kamisheni kutoka kwa biashara za CFDs, unahitaji:
Jisajili kwa akaunti ya Partner's Hub ili kuwa Mshirika wa Deriv.
Katika dashibodi, enda kwenye “Partner Area”.
Bofya My Referral Links .
Chagua Revenue Share ili kupata kiungo chako cha rufaa.
Shiriki kiungo chako cha rufaa na wateja wako.
Jifunze zaidi kuhusu jinsi ya kuanza kupata kamisheni kutoka kwa biashara za Options .
Ili kuanza kupata kamisheni kutoka kwa biashara za Options, unahitaji:
Jisajili kwa akaunti ya Partner's Hub ili kuwa mshirika wa Deriv.
Enda kwenye Open Dashboard > My Referral Links.
Chagua mpango wa kamisheni wa Options unaoupendelea zaidi. Kila mpango unakuja na kiungo cha kipekee cha rufaa: Turnover (inatumika kwa biashara za Options na CFDs)
Revenue Share (inatumika kwa biashara za Options pekee)
Bofya aikoni ya hamburger karibu na mpango uliouchagua.
Chagua Copy Link ili kuushiriki na wateja wako.
Jifunze zaidi kuhusu jinsi ya kuanza kupata kamisheni kutoka kwa biashara za CFDs.
Mahesabu ya kamisheni ya CFD hutofautiana kulingana na jukwaa analolifanyia biashara mteja wako, pamoja na aina ya akaunti. Kwa kawaida, kamisheni hutegemea kiwango cha biashara cha mteja wako au ukubwa wa lot.
Unaweza kupata viwango halisi vya kamisheni na mbinu za uhesabuji kwa kila jukwaa la biashara na aina ya akaunti hapa chini:
Akaunti ya Deriv MT5 Standard: Viwango vya kamisheni
Ingia kwenye Partner's Hub.
Bofya kitufe chekundu cha “Open Dashboard”.
Katika dashibodi, enda kwenye “Partner Area”.
Bofya My Referral Links .
Chagua mpango wa kamisheni unaoupendelea zaidi — utaona viungo vitatu vya rufaa vinavyopatikana: Revenue Share (kwa biashara za Options na CFDs)
Turnover (kwa biashara za Options pekee)
Master Partner