Pochi ya P2P inasaidia sarafu zipi?
Pochi ya P2P inasaidia sarafu zote zinazopatikana kwenye Deriv, ikiwa ni pamoja na sarafu za kawaida na za crypto.
Unapoweka fedha au kuunda oda ya kununua, utaona orodha ya sarafu zote zinazosaidiwa kwenye Pochi ya P2P.






