75% ya akaunti za wawekezaji wa rejareja hupoteza pesa wanapofanya biashara ya CFDs na Deriv. Unapaswa kuzingatia ikiwa unaweza kumudu kuchukua hatari kubwa ya kupoteza pesa zako.

CFD ni vyombo tata vyenye hatari kubwa ya kupoteza pesa haraka kutokana na leverage. 75% ya akaunti za wawekezaji wa rejareja hupoteza pesa wanapofanya biashara ya CFDs na mtoa huduma huyu. Unapaswa kuzingatia ikiwa unaelewa jinsi bidhaa hizi zinavyofanya kazi na ikiwa unaweza kumudu kuchukua hatari kubwa ya kupoteza pesa zako.

picha ya barabara yenye majengo
picha ya barabara yenye majengo

Kwa nini utuchague

Kwa zaidi ya miaka 25, Deriv imekuwa mshirika wa kuaminika kwa wafanyabiashara duniani kote.

Tunajivunia mtindo wetu wa kumzingatia mteja, tukihakikisha kwamba masilahi yao daima ndio kipaumbele chetu. Rekodi yetu nzuri iliyothibitishwa katika biashara inayodhibitiwa, pamoja na ulinzi madhubuti wa pesa za wateja, inatufanya kuwa chaguo bora kwa wafanyabiashara.

Tuzo zetu

Best Trading
Experience - Global
UF Awards
2025
Best CFD
Broker - LATAM
UF Awards
2025
Most Innovative
Broker -  MEA
UF Awards
2025
Most Transparent
Broker - Global
Global Forex
Awards 2025
Best Broker - Africa
Global Forex
Awards 2025
Jukwaa Bora la
Biashara - MENA
Global Forex
Awards 2025
Jukwaa la Mtandaoni la Biashara
Lenye Ubunifu Zaidi
Forex Expo
Dubai 2025
Afisa Mkuu wa Hatari na Kuzingatia
Sheria wa Mwaka
Forex Expo
Dubai 2025
Broker Bora - APAC
UF Awards
2025
Masharti Bora ya
Biashara - Global
Finance Magnates
2025
Most Trusted
Broker - Middle East
Finance Magnates
2025
Affiliate Program
of the Year
Forex Expo
Dubai 2024
Best Customer
Service - Global
Global Forex
Awards 2024
Most Trusted
Broker - Africa
Finance Magnates
2024
Broker Bora wa
Eneo la LATAM
ADVFN Awards
2024
Broker wa Mwaka
- Global
Finance Magnates
2024
Best Trading
Experience - Global
UF Awards
2025
Best CFD
Broker LATAM
UF Awards
2025
Most Innovative
Broker - MEA
UF Awards
2025
Most Transparent
Broker - Global
Global Forex
Awards 2025
Best Broker - Africa
Global Forex
Awards 2025
Jukwaa Bora la
Biashara - MENA
Global Forex
Awards 2025
Jukwaa la Mtandaoni la Biashara
Lenye Ubunifu Zaidi
Forex Expo
Dubai 2025
Afisa Mkuu wa Hatari na Kuzingatia
Sheria wa Mwaka
Forex Expo
Dubai 2025
Broker Bora - APAC
UF Awards
2025
Masharti Bora ya
Biashara - Global
Finance Magnates
2025
Most Trusted Broker
- Middle East
Finance Magnates
2025
Affiliate Program ‍‍
of the Year
Forex Expo
Dubai 2024
Best Customer‍‍
Service - Global
Global Forex
Awards 2024
Most Trusted‍‍
Broker - Africa
Finance Magnates

2024
Broker Bora wa ‍
Eneo la LATAM
ADVFN Awards
2024
Broker wa Mwaka‍
- Global
Finance Magnates

2024
Best Trading
Experience - Global
UF Awards
2025
Best CFD
Broker LATAM
UF Awards
2025
Most Innovative
Broker - MEA
UF Awards
2025
Most Transparent
Broker - Global
Global Forex
Awards 2025
Best Broker - Africa
Global Forex
Awards 2025
Jukwaa Bora la
Biashara - MENA
Global Forex
Awards 2025
Jukwaa la Mtandaoni la Biashara
Lenye Ubunifu Zaidi
Forex Expo
Dubai 2025
Afisa Mkuu wa Hatari na Kuzingatia
Sheria wa Mwaka
Forex Expo
Dubai 2025
Broker Bora - APAC
UF Awards
2025
Masharti Bora ya
Biashara - Global
Finance Magnates
2025
Most Trusted Broker
- Middle East
Finance Magnates
2025
Affiliate Program ‍‍
of the Year
Forex Expo
Dubai 2024
Best Customer‍‍
Service - Global
Global Forex
Awards 2024
Most Trusted‍‍
Broker - Africa
Finance Magnates

2024
Broker Bora wa ‍
Eneo la LATAM
ADVFN Awards
2024
Broker wa Mwaka‍
- Global
Finance Magnates

2024

Rekodi iliyothibitishwa

Deriv Group ina historia ambayo inarejelea mwaka 1999 wakati tuliweka msingi wa huduma ya kwanza ya biashara ya fixed-odds. Tangu wakati huo, tumekua shupavu, na tukiendelea kuaminiwa na wafanyabiashara kote ulimwenguni.

Leseni na udhibiti

Biashara na broker anayedhibitiwa na Mamlaka ya Usalama na Bidhaa ya UAE (SCA)

Katika EU, Deriv inadhibitiwa na Malta Financial Services Authority (MFSA). Kimataifa, kikundi chetu kinajumuisha vyombo vingine vinavyodhibitiwa, kama vile vile vilivyopewa leseni na Labuan FSA, Vanuatu FSC, na British Virgin Islands FSC.

Ulinzi wa pesa za mteja

Kituo cha Simu cha Bilingual cha Deriv: Msaada wa Kiarabu na Kiingereza

Deriv haitumii pesa zako kwa maslahi yake ya biashara na unaruhusiwa kutoa pesa zako wakati wowote. Fedha zako zote zimewekwa kando na zinashikiliwa katika taasisi za kifedha. Kwa njia hii, kama ikatokea tukio la Deriv kufilisika, pesa zako zote zitarudishwa kwako kwa sababu hazijaunganishwa kamwe na zetu.

Uelewa wa Hatari<br data-w-id="e58f092e-fd6c-8562-84de-9eb6c34df79d">na Usimamizi

Biashara bila gharama zilizofichwa

Biashara ya mtandaoni ni ya kusisimua lakini inahusisha hatari na inaweza kusababisha uraibu. Katika Deriv, tunaangalia maslahi bora ya wateja wetu na tunawahimiza kufanya biashara salama na kwa ustaarabu. Kama wewe ni mgeni katika hili, unaweza kujifunza biashara hii bila ukomo kwa kutumia fedha dhahania (zisizo halisi) kabla hujamua kuhatarisha pesa zako.

Msaada unapouhitaji

Kituo cha Simu cha Bilingual cha Deriv: Msaada wa Kiarabu na Kiingereza

Timu ya usaidizi wa Deriv inapatikana kupitia mazungumzo mubashara 24/7 - hata wikiendi. Unaweza pia kupata majibu katika kituo chetu cha msaada na kupata msaada kutoka kwa wafanyabiashara wenzako katika Jamii.

Uzoefu wa kwanza wa biashara kwa mteja

Deriv inafanya iwe rahisi kwa mtu yeyote kuanza biashara, kuelewa hatari, na kufanya maamuzi bora ya biashara. Zana na majukwaa yetu huwa na maelekezo mepesi na ni rahisi sana kuvinjari. Pia tunatoa habari za soko mara kwa mara, uchambuzi, semina, ebooks, mafunzo kwa njia ya video na makala za kituo cha msaada ili kukusaidia kupata habari na kuwa mfanyabiashara bora.

Usalama wako, kipaumbele chetu

Katika Deriv, tunatekeleza hatua bora za usalama kama vile usimbaji fiche wa SSL kulinda akaunti yako na taarifa binafsi.

Kituo cha Simu cha Bilingual cha Deriv: Msaada wa Kiarabu na KiingerezaKituo cha Simu cha Bilingual cha Deriv: Msaada wa Kiarabu na Kiingereza

Fanya biashara bila hatari na akaunti ya biashara ya demo

Fedha dhahania zisizo na ukomo

Fanya mazoezi ya biashara na Deriv kwa muda mrefu unavyopenda. Hakuna hatari, hakuna ada iliyofichwa.

Masoko yote na majukwaa

Furahia ufikiaji kamili wa masoko na majukwaa yetu yote.

Hakuna credit kadi inayohitajika

Jisajili kwa barua pepe yako tu. Hakuna credit kadi au kiasi cha chini kinachohitajika.