Skip to main content

Kikokotoo cha pip

Kokotoa tofauti za pip katika vyombo vyote vya kifedha vya uuzaji kwa kutumia kikokotoo chetu cha bure cha pip. Kadiria faida au hasara inayowezekana ya biashara yako kabla ya kuingia kwenye nafasi.

Kikokotoo

Ukubwa wa Kandarasi = -

Ukubwa wa Pip = -

Leverage Halisi = -

Ukubwa wa Point = -

Matokeo

Thamani ya Pip

$

Jinsi ya kukokotoa thamani za pip

Hii inamaanisha kwamba kwa kila mwendo wa pip wa EUR/GBP, faida au hasara yako (PnL) itabadilika kwa USD 3.28. ‍ Kumbuka: Thamani hizi ni za makadirio na zinaweza kutofautiana kulingana na leverage iliyowekwa kwenye akaunti yako na mali maalum inayofanyiwa biashara.

Fomula

Thamani ya Pip USD: Ukubwa wa Pip* x Lots x Ukubwa wa Kandarasi x QTE/USD*

*QTE/USD ni kiwango cha ubadilishaji kutoka sarafu ya bei (QTE), inayojulikana kama "Profit Currency" katika MT5, kwenda USD.

Mfano

Unafanya biashara ya lots 0.25 za EUR/GBP, ukitumia kiwango cha ubadilishaji cha GBP kwenda USD cha 1.31386.

Ukokotoaji ungekuwa:

Hii inamaanisha kwamba kwa kila mwendo wa pip wa EUR/GBP, faida au hasara yako (PnL) itabadilika kwa USD 3.28.

Kumbuka: Thamani hizi ni za makadirio na zinaweza kutofautiana kulingana na leverage iliyowekwa kwenye akaunti yako na mali mahususi inayofanyiwa biashara.

Jinsi ya kutumia kikokotoo cha pip cha Deriv

  1. Chagua chombo cha uuzaji

    Chagua chombo chako cha uuzaji, kutoka Forex, Hisa, Bidhaa, Crypto, na zaidi.

  2. Ingiza ukubwa wa nafasi

    Weka ujazo wako wa uuzaji kwa lots. Unaweza pia kuhariri bei ya mali ili kulinganisha ukokotoaji na mkakati wako wa uuzaji.

  3. Angalia matokeo

    Ona thamani ya pip kwa chombo chako cha uuzaji ulichochagua.

Kwa nini utumie kikokotoo cha pip cha Deriv

Kikokotoo cha pip kinakusaidia kuelewa jinsi mwendo wa pip unavyoathiri ukubwa wa biashara yako, kiwango cha hatari, na faida inayowezekana.

Linda mtaji wako

Jua thamani ya kila pip ili uweze kupanga ukubwa wa biashara zako kulingana na mkakati wako.

Weka viwango bora vya hatari

Tumia thamani za pip kuweka pointi za stop-loss na take-profit zinazolingana na uwezo wako wa kustahimili hatari.

Fuatilia faida inayowezekana

Kokotoa kiasi unachoweza kupata au kupoteza kutokana na biashara kulingana na mwendo wa pip.

Vikokotoo vinavyohusiana

Kikokotoo cha margin

Gundua kiasi cha fedha unachohitaji kabla ya kufungua biashara yoyote yenye leverage. Epuka margin calls kwa kukokotoa mahitaji sahihi ya mtaji kwa ukubwa wa nafasi unayokusudia.

Kikokotoo cha swap

Angalia gharama au faida ya kushikilia nafasi usiku kucha. Kokotoa ada za kila siku ili kuamua kama biashara za muda mrefu zinafaa mkakati wako.

Majibu ya maswali yako

Pip (percentage in point) ni kipimo kinachotumika kupima mwendo wa bei katika uuzaji. Katika forex, kwa kawaida ni: 0.0001 kwa jozi nyingi za sarafu (mfano, EUR/USD) 0.01 kwa jozi za JPY (mfano, USD/JPY) Katika masoko mengine, kama vile bidhaa, fahirisi, crypto, na hisa, neno "pip" linaweza kutumika kwa uhuru zaidi kurejelea: Pointi au tick katika mwendo wa bei Mabadiliko ya nafasi ya desimali (kutegemea na mali na jukwaa)
Tumia kikokotoo cha pip kabla ya kufanya biashara ili kupima mwendo wa bei, kukokotoa thamani ya pip, na kupanga viwango vyako vya stop-loss au take-profit kwa usahihi.
Ndiyo, kikokotoo chetu kinasaidia jozi za Forex, Stock CFDs, Bidhaa, Cryptocurrencies, na Fahirisi za Hisa zinazopatikana kwenye Deriv MT5.
Katika uuzaji wa Stock CFD, pip inawakilisha mabadiliko madogo zaidi ya bei kwa mali husika, kwa kawaida 0.01 kwa hisa za Marekani, wakati pip za Forex zimewekwa sanifu kwa 0.0001 kwa jozi nyingi.
Ndiyo, kikokotoo kinashughulikia Crypto CFDs kwa ukubwa sahihi wa pip. Bitcoin kwa kawaida hutumia 1.00 kwa kila pip, wakati sarafu za crypto ndogo zinaweza kutumia hatua ndogo zaidi.
Kwa jozi kuu za Crypto, pip 1 inaweza kuwakilisha mwendo wa 1.00 au 0.01 kutegemea na chombo. Kikokotoo chetu kinashughulikia hili kiotomatiki.

Jiunge na wafanyabiashara
zaidi ya milioni 3 duniani

Fungua akaunti kwa dakika chache na uanze kufanya biashara katika masoko ya dunia — forex, hisa, fahirisi, na zaidi.

WhatsApp