Kwa nini ufanye biashara ya Multipliers kwenye Deriv
Hakuna usimamizi wa mara kwa mara
Weka kiwango chako cha multiplier, na mfumo utafuatilia biashara kulingana na misogeo ya soko.

Ongeza kwa udhibiti
Ongeza matokeo yanayowezekana, ukihatarisha tu dau lako la awali.

Mfiduo ulioongezwa zaidi
Panua wigo wako – fanya biashara ya kiasi kikubwa zaidi kwa mtaji mdogo.

Multipliers hufanya kazi vipi
Chagua ikiwa unatarajia bei kupanda (Up) au kushuka (Down). Multiplier yako itasaidia kuongeza faida zinazowezekana. Kadiri soko linavyosogea zaidi kwenye mwelekeo uliopotabiri, ndivyo malipo yako yanayowezekana yanavyokuwa makubwa zaidi.
Majibu ya maswali yako
Hatari yako imewekwa kikomo kwa dau lako la awali, hata ikiwa soko linasogea kinyume na matarajio yako.
Ndiyo, unaweza kufunga biashara ya Multipliers wakati wowote unavyotaka, hii inakuwezesha kujibu mabadiliko ya soko.
Ndiyo, unaweza kuanza kufanya biashara ya Multipliers na kiasi kidogo, kuanzia USD 1.
Huenda pia ukapenda
Turbos
Pata malipo ikiwa utabiri wako ni sahihi na bei inabaki ndani ya kizuizi kilichowekwa.
Jifunze zaidi