Skip to main content

Vanillas

Pata malipo makubwa ikiwa utabiri wako ni sahihi ndani ya kipindi cha mkataba.

Fanya Biashara ya Vanillas

Jinsi ya kufanya biashara ya Vanillas?

Vanillas hukuruhusu kutabiri iwapo bei ya mali husika itakuwa juu au chini ya bei ya mgomo (strike price) wakati wa kumalizika kwa mkataba (exit spot).

Call

Pata malipo ikiwa exit spot iko juu ya bei ya mgomo wakati wa kumalizika kwa mkataba.

Put

Pata malipo ikiwa exit spot iko chini ya bei ya mgomo wakati wa kumalizika kwa mkataba.

Taarifa za nyongeza

Utapata faida tu ikiwa malipo ni makubwa zaidi kuliko dau lako.

Unaweza kuuza mkataba wako hadi sekunde 60 kabla ya kumalizika kwake. Ukifanya hivyo, tutakulipa thamani ya mkataba.

WhatsApp