Turbos
Pata malipo ikiwa utabiri wako ni sahihi na bei inabaki ndani ya kizuizi kilichowekwa.
Fanya Biashara ya TurbosJinsi ya kufanya biashara ya Turbos?
Turbos hukuruhusu kutabiri mwelekeo wa mienendo ya mali husika.
Juu
Pata malipo ikiwa bei ya sasa haishuki chini ya kizuizi wakati wote wa muda wa mkataba.
Chini
Pata malipo ikiwa bei ya sasa haipandi juu ya kizuizi wakati wote wa muda wa mkataba.
Taarifa za ziada
Iwapo kizuizi kitavukwa wakati wowote, mkataba wako utaisha mapema.
Unapata faida tu ikiwa malipo yako ni zaidi ya dau lako.
Unaweza kuuza mkataba wako hadi sekunde 15 kabla ya muda wa kuisha. Ukifanya hivyo, tutakulipa thamani ya mkataba.
Ukiweka muda wako kwa tick, huwezi kufunga mkataba mapema.