Rise/Fall
Fanya Biashara ya Rise/FallJinsi ya kufanya biashara ya Rise/Fall?
Rise
Pata Malipo iwapo mahali pa kutoka ni juu zaidi kuliko mahali pa kuingia.
Fall
Pata Malipo iwapo mahali pa kutoka ni chini zaidi kuliko mahali pa kuingia.
Ruhusu matokeo sawa
Kwa Rise, pata malipo iwapo mahali pa kutoka ni juu ya au sawa na mahali pa kuingia.
Kwa Fall, pata malipo iwapo mahali pa kutoka ni chini ya au sawa na mahali pa kuingia.