Over/Under
Fanya Biashara ya Over/UnderJinsi ya kufanya biashara ya Over/Under?
Over
Pata Malipo iwapo tarakimu ya mwisho ya exit spot ni kubwa kuliko nambari uliyoichagua.
Under
Pata Malipo iwapo tarakimu ya mwisho ya exit spot ni ndogo kuliko nambari uliyoichagua.