Even/Odd
Jinsi ya kufanya biashara ya Even/Odd?
Even/Odd inakuruhusu kutabiri ikiwa tarakimu ya mwisho ya bei ya tick ya mwisho itakuwa nambari shufwa au witiri wakati mkataba unapoisha (sehemu ya kutoka).
Even
Pata malipo ikiwa tarakimu ya mwisho ya sehemu ya kutoka ni shufwa (0, 2, 4, 6 au 8).
Odd
Pata malipo ikiwa tarakimu ya mwisho ya sehemu ya kutoka ni witiri (1, 3, 5, 7, au 9).