Zana za Wafanyabiashara

margin calculator
margin calculator
Jaribu kikokotoo cha margin

Kikokotoo cha margin

Kadiria margin unayohitaji ili kushikilia nafasi zako. Matokeo yanategemea mkopo, kiasi cha lot, na salio lako katika akaunti ya Deriv MT5.

swap calculator
swap calculator
Jaribu kikokotoo cha ubadilishanaji pesa

Kikokotoo cha ubadilishanaji

Kokotoa ada za kushikilia nafasi yoyote wazi usiku kucha. Ada zinaweza kuwa hasi au chanya kutegemeana na kiwango cha ubadilishanaji pesa.

pip calculator
pip calculator
Jaribu kikokotoo cha pip

Kikokotoo cha Pip

Tafuta thamani ya pips katika biashara zako ili kudhibiti hatari yako kwa ufanisi.

PnL margin
PnL margin
Jaribu PnL kwa kikokotoo cha margin

PnL kwa margin

Kadiria uzuiaji hasara na/au kiwango cha kuchukua faida vile vile thamani ya mkataba wako wa pip ili kupunguza hatari wakati wa kununua au kuuza nafasi.

PnL multipliers
PnL multipliers
Jaribu kikokotoo cha multipliers

Zuia hasara na chukua faida kwa multipliers

Kadiria kiwango na kiasi cha kuzuia hasara na kuchukua faida kwenye mkataba wako ili kupunguza hasara yako ikiwa bei ya soko itaenda tofauti na utabiri wako.