Pip Calculator
Zana za wafanyabiashara
Kikokotoo cha Pip
Kikokotoo chetu cha pip kitakusaidia wewe kukadiria thamani ya pip katika biashara yako ili uweze kudhibiti hasara.
Jinsi ya kukokotoa thamani ya pip
Thamani ya mkataba wa pip kwenye Deriv MT5 inakokotolewa kulingana na fomula hii:
Thamani ya pip = thamani ya uhakika × kiasi × ukubwa wa mkataba
Kwa akaunti za sanisi, thamani ya pip inakokotolewa katika USD.
Kwa akaunti za kifedha, thamani ya pip iko katika nukuu za jozi ya sarafu za forex.
Mfano wa ukokotozi
Thamani ya pip kwa Dira ya sanisi
Thamani ya pip kwa forex