Kikokotoo cha Margin
Zana za wafanyabiashara
Kikokotoo cha margin
Kikokotoo chetu cha margin hukusaidia kukadiria margin inayohitajika kuacha nafasi zako wazi kwa usiku kucha kwenye Deriv MT5.
Jinsi ya kukokotoa margin
Margin inayohitajika katika mkataba kwenye Deriv MT5 ina kokotolewa kulingana na formula:
Margin = (kiasi × ukubwa wa mkataba × bei ya mali) ÷ mkopo
Hii inakupa mahitaji ya margin katika nukuu ya sarafu kwa jozi za forex, au katika sehemu ya mali ya msingi kwa vyombo vingine.
Kwa mfano, ikiwa unafanya biashara ya jozi za USD/CHF forex, uhitaji wa wigo unakokotolewa katika Swiss Franc (CHF) ambayo ni sarafu ya nukuu. Kwa upande mwingine, ikiwa unafanya biashara ya Dira ya Volatility 75, basi uhitaji wa wigo hukokotolewa katika US Dola (USD), ambayo ipo chini ya mali ya msingi ya - Dira ya Volatility 75.
Mfano wa ukokotozi
Margin inayohitajika