Kikokotoo cha Ubadilishanaji

Zana za wafanyabiasharamshale wa kulia

Kikokotoo cha ubadilishanaji

Kikokotoo chetu cha ubadilishanaji pesa hukusaidia kukadiria makato ya ubadilishanaji yanayohitajika kuweka nafasi zako wazi usiku kucha kwenye Deriv MT5.

Sanisi

Fedha

0

Jinsi ya kukokotoa tozo za ubadilishanaji

Kwa sanisi, tozo ya ubadilishanaji hukokotolewa kwa msingi wa kila mwaka kwa nafasi ndefu na fupi kulingana na fomula hii:

Tozo ya ubadilishanaji = kiasi × ukubwa wa mkataba × bei ya mali × (kiwango cha ubadilishanaji ÷ 100) ÷ 360

Hii inakupa tozo ya ubadilishanaji katika USD.

Mfano wa ukokotozi

Hebu tuseme unataka kuweka 0.01 lots kwa Dira ya Volatility 75 na bei ya mali ya USD 400,000 na kiwango cha ubadilishanaji cha -7.5 wazi kwa usiku mmoja.

0.01
Kiasi
x
1
Ukubwa wa mkataba 1
x
400,000
Bei ya mali
x
( -7.5
Kiwango cha ubadilishanaji pesa 2
÷
100 )
÷
360
=
-0.83
Tozo ya ubadilishanaji
0.01
Kiasi
x
1
Ukubwa wa mkataba 1
x
400,000
Bei ya mali
x
( -7.5
Kiwango cha ubadilishanaji pesa 2
÷
100 )
÷
360
=
-0.83
Tozo ya ubadilishanaji
0.01
Kiasi
x
1
Ukubwa wa mkataba 1
x
400,000
Bei ya mali
x
( -7.5
Kiwango cha ubadilishanaji pesa 2
÷
100 )
÷
360
=
-0.83
Tozo ya ubadilishanaji
0.01
Kiasi
x
1
Ukubwa wa mkataba 1
x
400,000
Bei ya mali
x
( -7.5
Kiwango cha ubadilishanaji pesa 2
÷
100 )
÷
360
=
-0.83
Tozo ya ubadilishanaji
  1. Ukubwa wa mkataba wa lot 1 ya kawaida ya Dira ya Volatility 75 = 1
  2. Ikiwa kiwango cha ubadilishanaji ni chanya, akaunti yako itawekewa kiasi cha ubadilishanaji. Ikiwa ni hasi, akaunti yako itatozwa.

Kwa hivyo utahitaji tozo ya ubadilishanaji ya 0.83 USD ili kuweka nafasi wazi kwa usiku mmoja.