Akaunti
No results
Kwa nini siwezi kuunda akaunti?
Hizi hapa ni baadhi ya sababu zinazoweza kukufanya usiweze kuunda akaunti:
- Upo chini ya umri wa miaka 18.
- Huenda tayari una akaunti ya Deriv.
- Huduma zetu hazipatikani katika nchi yako ya makazi.
Unaweza kurejelea masharti yetu kwa maelezo zaidi.
Makala katika sehemu hii









