Je, nitaitambuaje akaunti ya kitapeli katika mitandao ya kijamii?
Angalia shughuli za akaunti: makosa ya tahajia kwenye jina la akaunti, uwiano wa kufuatilia na wanaowafuata usio wa kawaida, na ofa zilizojaa emoji ambazo zinaonekana nzuri kupita kiasi ni viashiria vya hatari. Deriv kamwe haiombi taarifa zako binafsi au za kifedha kupitia mitandao ya kijamii, wala hatutoi zawadi/promosheni. Thibitisha akaunti yako kupitia akaunti zetu rasmi za mitandao ya kijamii iliyoorodheshwa chini ya tovuti yetu.









