

Biashara ya crypto 24/7
Biashara kwenye bei ya Bitcoin, Ethereum, na cryptocurrencies nyingine maarufu. Inapatikana kila saa kwa tight spreads, utekelezaji wa haraka, na gawio 0%.

Kwa nini ufanye biashara ya crypto na Deriv
Majukwaa yanayoeleweka kwa biashara zenye ufanisi
Tembea kwenye masoko kwa urahisi kupitia majukwaa yetu sikivu, rahisi kutumia na yenye zana za hali ya juu. kwa leverage kubwa na tight spreads imara.

Upatikanaji rahisi wa fedha zako
Weka au toa pesa kwa njia ya malipo unayopendelea. Haraka, bila bughudha, vile utakavyo.

Biashara 24/7
Ufikiaji wa saa zote kwenye cryptocurrencies, ikijumuisha wikendi na sikukuu za umma.

Chunguza jozi zetu za crypto
Jinsi ya kufanya biashara ya crypto kwenye Deriv
CFDs
Fanya dhana juu ya mabadiliko ya bei ya sarafu maarufu za kidijitali kwa kutumia mikopo ya juu na viashiria vya kiufundi vya hali ya juu.
Inapatikana kwenye

Multipliers
Zidisha faida inayowezekana kwenye cryptocurrencies bila kuhatarisha zaidi ya dau lako la awali.
Inapatikana kwenye
