Jifunze jinsi ya kufanya biashara ya cryptocurrencies na Deriv

Dai e-book ya bure sasa!

Pamoja na demo akaunti bure ili kufanya mazoezi.

Hii e-book imetolewa kwako na mfanyabiashara mkongwe mtandaoni na ni mwandishi wa New York Times mwenye mauzo bora sana, Vince Stanzione.

Kwa kubonyeza “Pata ebook yako sasa!”, unathibitisha kuwa una umri wa miaka 18 au zaidi. Unaelewa kuwa tunaweza kutumia anwani yako ya baru pepe kukutumia taarifa kuhusu huduma na bidhaa za Deriv pamoja na habari za soko. Unaweza kujiondoa wakati wowote kutoka kwenye barua pepe hizi katika mipangilio ya akaunti yako. Kwa maelezo zaidi, tafadhali angalia Faragha na usalama Deriv's.

Au jisajili kwa

ebook
Picha ya kushika nafasi jumla

Utangulizi

Biashara ya cryptocurrencies hukupa nafasi ya kupata faida kulingana na mwenendo wa bei bila kumiliki sarafu msingi za digitali. Kwa maneno mengine, unaweza kupata malipo kwa kutabiri kwa usahihi ikiwa bei ya cryptocurrency itapanda au kushuka.

Katika mwongozo huu, utajifunza vidokezo muhimu na mikakati ya biashara ya cryptocurrencies kwenye Deriv. Pia utapata demo akaunti bure ili kufanya mazoezi bila hatari kabisa kwenye majukwaa ya Deriv MT5 na DTrader, pamoja na DerivGO app. Na ukiwa tayari kuanza kufanya biashara halisi, unaweza kuanza kwa kuweka kiasi kidogo kama $5.

    Katika kitabu hiki tutashughulikia
  • Angalia IkoniUtangulizi wa cryptocurrencies
  • Angalia IkoniAina za cryptocurrencies
  • Angalia IkoniMisingi ya biashara ya cryptocurrency
  • Angalia IkoniAina za oda kwa biashara ya derivatives
  • Angalia IkoniJinsi ya kutathimini cryptocurrency
  • Angalia IkoniManeno ya kawaida ya kripto ili kuwavutia marafiki zako
Mada za Forex